KUTANA NA MTOTO WA MCHEZAJI DAVID BECKHAM AKIWA NA MCHUMBA WAKE.



Ana umri wa miaka  15 mpaka sasa na la kushangaza zaidi ni kwamba ana rafiki wa kike (girlfried) ambaye wazazi wake yanai David Beckham pamoja na victoria wanamjua na wamemruhusu mtoto wake kudate na msichana huyu ambapo mpaka sasa wnatimiza miez mitatu tangu anze kujishughughulisha na maswala ya kimapenzi.Kingine cha ajabu zaidi ni kwamba mpenzi wake huyu naye ni star lakin katika fani ya filamu anajulikana kwa jina la starlet Chloe Moretz ambaye ana miaka kumi na saba sasa  17,zitazame picha hizi wakiwa pamoja kwenye maeneo tofauti 


 


 







source:kishymba
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

0 comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2014. Fursa Zetu .All Rights Reserved. Designed by WILLIE DONMORY| COMPLEX SYSTEM
Top